Lamentations 4:15


15 aWatu wanawapigia kelele, “Ondokeni! Ninyi ni najisi!
Ondokeni! Ondokeni! Msituguse!”
Wanapokimbia na kutangatanga huku na huko,
watu miongoni mwa mataifa wanasema,
“Hawawezi kukaa hapa zaidi.”

Copyright information for SwhKC